TEC inatoa Mafunzo kwa Watafuta Kazi: Mafunzo ya Huduma za Ajira pamoja na Mwongozo wa Taaluma na Ushauri wa Kitaaluma.

1. Ujuzi wa Kufanya Usaili
2. Mafunzo ya Uandishi wa CV
3. Mafunzo ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi
4. Kuwawezesha Wafanyakazi Mahali pa Kazi
5. Uombaji wa Kazi
6. Kusoma na Kuelewa Tangazo la Kazi
7. Ushauri wa Kusafiri Kabla ya Kuondoka Nchini
8. Maadili ya Kazi

TEC inatoa Mafunzo Kabla ya Kusafiri:

1. Kwa wanafunzi wanaoenda kusoma nje ya nchi
2. Kwa watu wanaoenda kufanya kazi na mafunzo kwa vitendo nje ya nchi